Kuhusu Tafakuri

Tafakuri ni jukwaa la maarifa ya Kiislamu kwa lugha ya Kiswahili, lililotengenezwa kwa nia ya kusaidia Waislamu kusoma na kutafakari Qur'ani Tukufu, Hadith, Dua na Adhkar, pamoja na makala na vitabu vya elimu ya dini popote walipo.

Qur'ani na Tafsiri
Soma Surah zote pamoja na tafsiri ya Kiswahili.
Hadith za Kila Siku
Pata hadithi mpya kila siku pamoja na chanzo chake.
Dua na Adhkar
Mkusanyiko wa dua na adhkar za asubuhi na jioni.
Maktaba
Vitabu, sauti na video za elimu ya Kiislamu.

Mradi Huria

Tafakuri ni mradi huria (open source) unaoendelea kuboreshwa na kuongezewa maudhui kwa lengo la kunufaisha Umma wa Kiislamu. Tunakaribisha michango, mapendekezo na marekebisho kutoka kwa jamii.