Vitabu 3 vinapatikana

MUONGOZO WA HAJJ, UMRAH NA ZIYARAH
SHK. ABDUL KHATWAB ABDALLAH HUMEID
Kitabu hiki kimekuwa cha aina ya pekee, kwa kuwa mwandishi ametoa juhudi kubwa ya kuyawekakila mas-ala na dalili zake. Allaah atupe Twafiq sisi na yeye katika kuifikia haki na kufanya yale yanayomridhisha Allaah Subhaanahu wa Ta'alaa. ~ Abul Fadhil Qaasim Bin Mafuta Bin Qaasim.

MUKHTASARI WA ADABU ZA USIKU WA NDOA
SHK. ISMAILI BIN MUSSA BIN KIZA
Ni mfululizo wa risala na makala mbalimbali za kielimu zenye lengo la kuondoa au kupunguza ujinga wa kutoifahamu dini katika jamii za waislamu.

HIJJA NA UMRA KWA MUJIBU WA QUR'AN NA SUNNAH
SHK. LUQMAAN NASSOR ABDALLA
Katika kuandaa kitabu hiki, nimezingatia sana vitabu viwili muhimu vya wanavyuoni Aziz Abdul Sheikh cha) التحقيق واإليضاح لكثير من مسائل الحج والعمرة والزيارة) hizi zama wa wakubwa bin Abdullah bin Baz (Allah amrehemu) na (المعتبر دليل (cha Sheikh Abu Yusuf bin Zabnillah bin Muhammad Al-Atir (Allah amhifadhi).