
FiqhSiira
MUONGOZO WA HAJJ, UMRAH NA ZIYARAH
SHK. ABDUL KHATWAB ABDALLAH HUMEID202626 kurasa
Kitabu hiki kimekuwa cha aina ya pekee, kwa kuwa mwandishi ametoa juhudi kubwa ya kuyawekakila mas-ala na dalili zake. Allaah atupe Twafiq sisi na yeye katika kuifikia haki na kufanya yale yanayomridhisha Allaah Subhaanahu wa Ta'alaa. ~ Abul Fadhil Qaasim Bin Mafuta Bin Qaasim.
Kisomaji cha Kitabu
SwahiliInapakia kitabu...
Ingia kwenye akaunti yako ili maendeleo yako ya kusoma yahifadhiwe.