الْحَمْدُ لِلَّهِ
Alhamdulillah
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu
اِلبَـس جَديـداً وَعِـشْ حَمـيداً وَمُـتْ شهيداً
Ilbas jadiydan wa ’ish hamiydan wamut shahiydaa
Vaa nguo mpya, na ishi hali ya kuwa ni mwenye kushukuru, na kufa hali ya kuwa ni shahidi
الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي بِنِعْمَتِهِ تَتِمُّ الصَّالِحَاتُ
Alḥamdu lillāhil-ladhī bini'matihī tatimmuṣ-ṣāliḥāt
Sifa njema zote ni za Allah ambaye kwa neema yake mambo mema hukamilika
الْحَمْدُ لِلَّهِ عَلَى كُلِّ حَالٍ
Alḥamdu lillāhi 'alā kulli ḥāl
Sifa njema zote ni za Allah katika hali yoyote
سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ، أَشْهَدُ أَنْ لاَ إِلَهَ إِلاَّ أَنْتَ، أَسْتَغْفِرُكَ وَأَتُوبُ إِلَيْكَ
Subḥānakallāhumma wa biḥamdika, ash-hadu allā ilāha illā ant, astaghfiruka wa atūbu ilayk
Utakatifu ni wako Ee Allah na kwa sifa zako; Nashuhudia kwamba hakuna Mungu ila Wewe; nakuomba msamaha na natubia kwako
اللَّهُمَّ أَنْتَ رَبِّي لاَ إِلَهَ إِلاَّ أَنْتَ، خَلَقْتَنِي وَأَنَا عَبْدُكَ، وَأَنَا عَلَى عَهْدِكَ وَوَعْدِكَ مَا اسْتَطَعْتُ، أَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّ مَا صَنَعْتُ، أَبُوءُ لَكَ بِنِعْمَتِكَ عَلَيَّ، وَأَبُوءُ بِذَنْبِي فَاغْفِرْ لِي فَإِنَّهُ لاَ يَغْفِرُ الذُّنُوبَ إِلاَّ أَنْتَ
Allāhumma anta rabbī lā ilāha illā ant, khalaqtanī wa anā 'abduk...
Ee Allah, Wewe ni Mola wangu, hakuna Mungu isipokuwa Wewe. Uliniumba nami ni mja Wako. Niko katika ahadi yako kadiri niwezavyo. Nakukimbilia nawe kutoka kwa shari ya niliyoyafanya. Nakiri neema yako juu yangu, na nakiri dhambi zangu. Basi nisamehe, kwani hakuna anayesamehe dhambi ila Wewe